UZINDUZI WA TIMU MPYA HAI CITY FC ILIYOPO WILAYANI HAI, MKOA WA KILIMANJARO.

Posted by Arusha by day and by night On 01:40 No comments






 

Uzinduzi wa timu mpya ya Hai City Football Club Ulifanyika jana tarehe  15/02/2014 katika ukumbi wa PWEZA BAR - BOMANG'OMBE

* Mkuu wa wilaya makini, mchapakazi na mwanamichezo MH NOVATUS MAKUNGA alikuwa mgeni rasmi ktk uzinduzi huo. tunamshukuru na tunampongeza sana kwa kuhudhuria.
 
* Timu hii ni moja ya timu mbili zitakazoiwakilisha wilaya ya HAI ktk ligi daraja la nne ngazi ya mkoa (kilimanjaro). timu nyingine na MACHAME UTD

Picha hapo juu ni matukio mbalimbali yaliyofanyika wakati wa uzinduzi wa timu hiyo ambayo ina miezi minne tu lakini imeweza kufanikiwa kutinga katika ligi ya mkoa.

Hili timu ifanye vizuri zaidi,wadau wa soka wa wilaya ya Hai mnaomba kuisaidia kwa hali na mali timu yenu hiyo.

0 comments:

Post a Comment