MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA KWA KISHINDO HAI

Posted by MK On 16:19 No comments

Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga(Kushoto) akipokea mwenge wa Uhuru kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Dkt Ibrahimu Msengi
 Mwenge wa Uhuru ukiingia katika mji wa Bomang'ombe wilayani Hai kwa Nyakua-nyakua
 Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akimkabidhi kiongozi wa wakimbiza mwenge 2012 kapteni Honest Ernest Mwanossa
 Nyakua-nyakua ndani ya mji wa Bomang'ombe pamoja na mwenge wa Uhurua
 Wananchi wa jamii ya wafugaji nao hawakuwa nyuma katika kuupokea Mwenge wilayani Hai

 
 Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kapteni Mwanossa akikagua ujenzi wa wodi ya upasuaji katika hospitali ya serikali ya wilaya ya Hai
 Wahisani wa ujenzi wa Bwalo la Shule ya msingi wa Kimashuku nao walishiriki katika kuupokea mwenge wa Uhuru
Kiongozi wa wakimbiza mwenge Kapteni Mwanossa akifungua rasmi madarasa matatu ya shule ya sekondari Maili sita

0 comments:

Post a Comment