HAI YATENGA MAENEO 430 YA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI MWAKA 2012

Posted by MK On 20:55 No comments

Watanzania na wananchi wa wilaya ya Hai siku imekucha salama kabisa na shughuli za sensa zilianza vizuri kabisa jana usiku kwa makundi maalumu wakiwemo wasafiri na asubuhi hii zimeanza vizuri katika maeneo niliyoyapitia.

Wilaya yetu ya Hai imetenga maeneo ya kuhesabia 430 ambapo kati ya hayo,maeneo ya dodoso fupi yatakuwa 285 na dodoso refu 145.Tuna makarani wa sensa 622,Naomba wananchi wote kuwapa ushirikiano mkubwa

Tumeendelea kuwahimiza wananchi kujipanga kwa kuwa na takwimu sahihi za watu wote waliolala katika kaya zao usiku wa kuamkia leo ambazo ni pamoja na;Jina,umri,hali ya ndoa,kiwango cha elimu,uraia,cheti ama tangazo la kuzaliwa,hali ya ajira,mahali alip;ozaliwa na anapoishi,mahali anaposhinda kwa muda mrefu yaani anapotumia saa nyingi kufanya shughuli zake,hali ya ulemavu,mahali a;ipoishi kwa mwaka 2011 na kama ni mwanamke aeleze idadi ya watoto waliozaliwa wakiwa hai.

Haya ni baadhi tu ya maswali yaliyomo katika dodoso ambapo lile refu lina jumla ya maswali 62 na fupi lina maswali 37.

Mnamo saa mbili asubuhi hii nitakuwa live katika Boma FM kwa hiyo kwa wale wanaoisikiliza naomba mnitumie maswali yanayoitaji ufafanuzi na hata taarifa mbalimbali endapo kuna eneo ambalo mtaona kwamba haliendi sawa ama kunipigia simu moja kwa moja kwa nambari 0713682268

Wenu Novatus Makunga,Mkuu wa wilaya ya Hai

WENYEVITI WA VITONGOJI KUSHIRIKI SENSA WILAYANI HAI

Posted by MK On 21:48 No comments

Na Richard Mwangulube,Hai

Wenyeviti wa vitongoji na vijiji wapatao 116 katika wilaya ya Hai wameondoa tishio lao la kutoshiriki katika sensa na kuahidi kushirikiana na makarani wa zoezi katika kuhakikisha linafanikiwa

Wenyeviti hao walitoa tishio hilo kwa barua kwenda kwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Hai na kumkabidhi nakala mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro  Leonidas Gama alipokuwa katika ziara ya kuhamasisha sensa wilayani Hai Jumanne iliyopita.

Wenyeviti hao walifuta mpango huo baada ya kuwa na klikao cha saa mbili na mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga na kuahidi kuwaongoza makarani wa sensa katika vitongoji vyao

Kaimu mwenyekiti wa umoja wa wenyeviti wa vitongoji wilayani Hai Simon Mnyampanda ameeleza kuwa baada ya kikao hicho na mkuu wa wilaya ya hai, Makunga sasa wamepata ari na nguvu ya kushiriki kikamilifu katika zoezi la sensa.

Tamko hilo ambalo limesainiwa na wenyeviti wapatao 103 kwenda kwa mkuu wa wilaya na nakala kwa mkuu wa mkoa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya wameeleza kwa kauli moja wanafuta tamko lao la awali ambalo lilikuwa likieleza kuwa hawatajihusisha na kuwaongoza makarani kwa zoezi la sensa katika vitongoji vyao kwa kuwa hawajuhi mipaka na ukomo wao na sheria na kanuni za sensa.

Naye mkuu wa wilaya hiyo,Novatus Makunga aliwataka wenyeviti hao kabla ya kushiriki katika zoezi hilo kufuta tamko lao kwa maandishi agizo ambalo walilikubali na baadaye kukutana na kutoa waraka wa kufuta tamko la awali la tarehe 17/08/2012 la kutowaongoza makarani wa sensa.

Baada ya kukubali kuliondoa na kulifuta tamko lao,Makunga aliwaagiza waratibu wa sensa wilayani humu kuwagawia nyaraka na vipeperushi mbalimbali vinavyohusu sensa na pia aliwafafanulia kuwa katika kazi hiyo tayari  ofisi ya taifa ya takwimu imetoa muongozo wa wenyeviti hao kulipwa posho maalumu ya kuwaongoza makarani

Wenyeviti hao walitangaza kususia zoezi la sensa wakishinikiza kulipwa posho zao za jumla ya shilingi milioni 280 wanazodai kwamba halmashauri ya wilaya hiyo haijawalipa tangu mwaka 2008


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama kutokana na barua hiyo aliwapa siku moja wenyeviti hao kuandika barua ya kujitoa katika ushiriki wa zoezi hilo endapo msimamo wao unabaki pale pale wa kutotoa  ushirikiano kwa makarani wa sensa

FLIGHT SCHEDULE AT KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT(KIA)

Posted by MK On 22:52 No comments


DAYS
FLTNO.
A/C TYPE
STA
STD
ROUTING
MONDAY
ET825
B737
0310
0355
ADD/JRO/MBA/ADD

WK078
A333
0745
0850
ZRH/JRO/MBA/ZRH

QR546
A320
1005
-
DOH/DAR/JRO

KQ420
E70
0950
-
NBO/JRO

KQ421
E70
-
1040
JRO/NBO

QR547
A320
-
1105
JRO/DAR/DOH

ET815
B737
1255
1340
ADD/JRO/MBA

P2 822
DH6
1345
1400
WIL/JRO/WIL

ST458
BE19
1345
1415
NBO/JRO/NBO

ET814
B737
1630
1715
MBA/JRO/ADD

WB103
B737
1710
1755
KGL/DAR/JRO/KGL

KL569
B777
1935
2040
AMS/JRO/DAR/AMS


















TUESDAY
ET825
B737
0310
0355
ADD/JRO/MBA/ADD

KQ420
E70
0950
-
NBO/JRO

KQ421
E70
-
1040
JRO/NBO

ET815
B737
1255
1340
ADD/JRO/MBA

P2 822
DH6
1345
1400
WIL/JRO/WIL

ST458
B19
1345
1415
NBO/JRO/NBO

QR544
A320
1520
-
DOH/DAR/JRO

QR545
A320
-
1620
JRO/DAR/DOH

ET814
B737
1610
1715
MBA/JRO/ADD

WB103
B737
1710
1755
KGL/DAR/JRO/KGL

KL571
B777
1935
2040
AMS/JRO/DAR/AMS
























WEDNESDAY
ET825
B737
0310
0355
ADD/JRO/MBA/ADD

DE2264/5
B767
0535
0630
FRA/JRO/MBA/FRA

TC100
B737
0725
0755
DAR/JRO/MWZ

QR546
A320
1005
-
DOH/JRO/DAR

KQ420
E70
0950
-
NBO/JRO

KQ421
E70
-
1040
JRO/NBO

QR547
A320
-
1105
JRO/DAR/DOH

ET815
B737
1255
1340
ADD/JRO/MBA

P2 822
DH6
1345
1400
WIL/JRO/WIL

ST458
B19
1345
1415
NBO/JRO/NBO

WB103
B737
1450
1535
KGL/JRO/DAR/KGL

ET814
B737
1630
1715
MBA/JRO/ADD

KL569
B777
1935
2040
AMS/JRO/DAR/AMS


















THURSDAY
ET825
B737
0310
0355
ADD/JRO/MBA/ADD

ET815
B738
1255
1340
ADD/JRO/MBA

P2 822
DH6
1345
1400
WIL/JRO/WIL

ST458
B19
1345
1415
NBO/JRO/NBO

WB103
B737
1450
1535
KGL/JRO/DAR/KGL

QR544
A320
1520
-
DOH/DAR/JRO

QR545
A320
-
1620
JRO/DAR/DOH

ET814
B737
1630
1715
MBA/JRO/ADD

KL571
B777
1935
2040
AMS/JRO/DAR/AMS






























DAYS
FLTNO
A/C TYPE
STA
STD
ROUTING
FRIDAY
ET825
B737
0310
0355
ADD/JRO/MBA/ADD

QR546
A320
1005
-
DOH/DAR/JRO

KQ420
E70
0950
-
NBO/JRO

KQ421
E70
-
1040
JRO/NBO

QR547
A320
-
1105
JRO/DAR/DOH

ET815
B737
1255
1340
ADD/JRO/MBA

P2 822
DH6
1345
1400
WIL/JRO/WIL

ST458
B19
1345
1415
NBO/JRO/NBO

ET814
B737
1630
1715
MBA/JRO/ADD

WB103
B737
1710
1755
KGL/DAR/JRO/KGL

TC102
B737
1755
1825
DAR/JRO/MWZ

KL569
B777
1935
2040
AMS/JRO/DAR/AMS






























SATURDAY
ET825
B737
0310
0355
ADD/JRO/MBA/ADD

KQ420
E70
0950
-
NBO/JRO

KQ421
E70
-
1040
JRO/NBO

ET815
B737
1255
1340
ADD/JRO/MBA

P2 822
DH6
1345
1400
WIL/JRO/WIL

ST458
B19
1345
1415
NBO/JRO/NBO

QR544
A320
1520
-
DOH/DAR/JRO

QR545
A320
-
1620
JRO/DAR/DOH

ET814
B737
1630
1715
MBA/JRO/ADD

KL571
B777
1935
2040
AMS/JRO/DAR/AMS




































SUNDAY
ET825
B737
0310
0355
ADD/JRO/MBA/ADD

QR546
A320
1005
-
DOH/DAR/JRO

KQ420
E70
0950
-
NBO/JRO

KQ421
E70
-
1040
JRO/NBO

QR547
A320
-
1105
JRO/DAR/DOH

ET815
B737
1255
1340
ADD/JRO/MBA

P2 822
DH6
1345
1400
WIL/JRO/WIL

ST458
B19
1345
1415
NBO/JRO/NBO

WB103
B737
1450
1535
KGL/JRO/DAR/KGL

ET814
B737
1630
1715
MBA/JRO/ADD

TC103
B737
2000
2030
MWZ/JRO/DAR

KL567
B777
1935
2040
AMS/JRO/DAR/AMS