HABARI KATIKA PICHA : MBIO ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI HAI KWA MWAKA 2014

Posted by Arusha by day and by night On 00:48 No comments

Mkuu wa wilaya ya Moshi Mshikizi,Shaibu Ndemanga akiongoza Mwenge wa Uhuru kwa ajili ya kuukabidhi kwa wilaya ya Hai katika kijiji cha Shirinjoro
Mkuu wa wilaya ya Hai,Akimpokea mmoja ya wakimbiza mwenge kitaifa kutoka wilayani Moshi
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akimpokea mmoja ya wakimbiza mwenge kitaifa kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
Mkuu wa wilaya ya Hai akimkaribisha kiongozi wa wakimbiza mwenge kitaifa Rachel Kassanda
Mkuu wa wilaya ya Moshi Mskilizi,Shaibu Ndemanga akikabidhi mwenge kwa mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akipokea mwenge kutoka Halmashauri ya manispaa ya Moshi
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akikiri kuupokea mwenge wa Uhuru ukiwa salama
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga katika taratibu za kupokea mwenge wa Uhuru
Vijana wa chipukizi wilayani Hai na ujumbe wao "Mwenge karibu Hai,Uone Hai,Watu wa Hai,Walio Hai,Siyo hoi ni Hai ya Hai,yenye Uhai wilaya ya Hai"
Mkuu wa wilaya ya Hai Mara baada ya kupokea mwenge akijiandaa kuanza kukimbizwa wilayani kwake
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa 2014,Rachel Kassanda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara tu baada ya kufungua bwalo la kulia chakula katika shule ya msingi ya Lambo
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa,Rachel Kassanda akisoma kibao cha ufunguzi wa Maradi baada ya kuukagua na kuufungua rasmi

0 comments:

Post a Comment