VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU VYAFIKIA 22 NCHINI TANZANIA

Posted by Arusha by day and by night On 06:53 No comments



VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU,VIONGOZI WAO WA
KITAIFA NA MAHALI ZILIPO OFISI HADI JUNI 2014

NAMBA YA USAJILI
JINA NA TAREHE YA USAJILI WA KUDUMU
VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA
OFISI
01
0000001
Chama cha Mapinduzi(CCM)

01 Julai,1992
Mhe Jakaya Mrisho Kikwete (Mwenyekiti)
Bw.Abdulrahaman Kinana
(Katibu Mkuu)
1.Kuu Street Dodoma

2.Lumumba Street,
Dar-es-Salaam
02
0000002
The Civic United Front(CUF)

21 Januari 1993
Prof.Ibrahim Lipumba
(Mwenyekiti)
Mhe.Seif Shariff Hamad
(Katibu mkuu)
1.Mtendeni Street Malindi Zanzibar

2.Buguruni, Pandya Zanzibar
03
0000003
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

21 Januari,1993
Mhe.Freeman Aikael Mbowe (Mwenyekiti)
Dr.Wilbroad Peter Slaa
(Katibu Mkuu)
Ufipa Street Kinondoni,
Dar-es-Salaam
04
0000004
Union for Multiparty Democracy(UMD)
21 Januari,1993
Bw.Salum S Alli
( Mwenyekiti)
Bw.Kihanira Kalunge Kibaya
(Katibu Mkuu)
Mkuranga Street,Mji Mpya Temeke,
Dar-es-Salaam
05
0000005
National Convention for Construction and Reform(NCCR-Mageuzi
21 Januari,1993
Mhe.James F.Mbatia
(Mwenyekiti)
Bw.Mosena J.Nyambabe
(Katibu Mkuu)
Kilosa Street,Ilala,
Dar-es-Salaam
06
0000006
National League For Democracy(NLD)

21,Januari,1993
Dr.Emmanue Makaidi
(Mwenyekiti)
Bw.Tozy E.Matwanga
(Katibu Mkuu)
Sinza Madukani,
Dar-es-Salaam
07
0000007
United Peoples’ Democratic Party(UPDP)

4 Februari,1993
Bw.Fahmi Nassor Dovutwa (Mwenyekiti)
Bw.Hamadi M.Ibrahim
(Katibu Mkuu)
1.Magomeni Kagera,
Dar-es-Salaam

2.Saateni Street,Zanzibar
8
0000009
National Reconstruction Alliance(NRA)

8  Februari,1993
Bw. Rashid Mtuta
(Mwenyekiti)
Bw.Marsheed H.Hemed
(Katibu Mkuu)
Bububu Street,Tandika Kilimahewa
(Mtoni kwa Aziz Ali),
Dar-es-Salaam
9
00000011
Tanzania Democratic Alliance(TADEA)

5  April 1993
Bw. John Lifa Chipaka
(Mwenyekiti)
Bw.Juma Ali Khatibu
(Katibu Mkuu)
Magombeni Kondoa Street,
Dar-es-Salaam
10
00000012
Tanzania Labour Party(TLP)

21 Novemba,1993
Mhe. Augustino Lyatonga Mrema (Mwenyekiti)
Bw.Jeremiah Shellukindo
(Katibu Mkuu)
Morogoro Road,Usalama Bus Stand Magomeni,
Dar-es-Salaam
11
00000013
United Democratic Party(UDP)

24  Machi,1994
Mhe. John Momose cheyo
(Mwenyekiti)
Bw. John Nathan Nkolo
(Katibu Mkuu)

Kambangwa Street Mwananyamala,Kinondoni,
Dar-es-Salaam
12
00000053
Demokrasia Makini (MAKINI)

15  Novemba,2001
Bw. Obed Mshana
(Mwenyekiti)
Bw.Dominick Lyamchai
(Katibu Mkuu)
Zakhem,Kibondemaji,
Dar-es-Salaam
13
00000056
Chama cha Haki na Ustawi(CHAUSTA)

15 Novemba,2001
Bw. James Mapalala
(Mwenyekiti)
Bibi Mwaka Lameck Mgimwa
(Katibu Mkuu)
Morocco Drive in Oysterbay,
Dar-es-Salaam
14
00000057
Democratic Party(DP)

7 Juni 2002
Mch. Christopher Mtikila (Mwenyekiti)
Bi. Georgia Mtikila
(Katibu Mkuu)
Mchikichini,Soko la Ilala,
Dar-es-Salaam
15
00000058
African Progressive Party of Tanzania
(APPT-Maendeleo)

4  Machi 2003
Bw. Peter Kuga Mziray
(Mwenyekiti)
Bw. Nziamwe Samwel
(Katibu Mkuu)
Wibu Street,Kinondoni Dar-es-Salaam
16
00000065
Jahazi Asilia

17 Novemba 2004
Bw. Amour Rajab Amour
(Mwenyekiti)
Bi. Jamila Abeid Salehe (Katibu Mkuu)
1.Saaten JKU Road,Zanzibar

2.Yombo Street Karibu na Shule ya Msingi Madenge Temeke
 Dar-es-Salaam
17
00000066
Sauti ya Umma(SAU)

17 Februari 2005
Bw. Paul Henry Kyara
(Mwenyekiti)
Bw. Ali B. Kaniki
(Katibu Mkuu)
Shekilango Road,Kinondoni Dar-es-Salaam
18
00000073
Tanzania Farmers Party(AFP)

12  Novemba,2009
Bw. Said Soud Said (Mwenyekiti)
Bw. Rashid Ligania Rai
(Katibu Mkuu)
1.Chake Chake Wawi Pemba

2.Nasa Street,Tandika Temeke,
Dar-es-Salaam
19
00000079
Chama cha Kijamii(CCK)

27 Januari,2012
Bw. Constantine Akitanda (Mwenyekiti)
Bw. Kassim I. Mtaalam
(Katibu Mkuu)
Mbezi Beach Parking Building New Bagamoyo Road,
Dar-es-Salaam
20
00000080
Alliance for Democratic Change(ADC)

28 Agosti,2012
Bw. Said Miraji Abdallah
(Mwenyekiti)
Bi. Lidya Salanya Bendera
(Katibu Mkuu)
Buguruni Malapa Street,
Dar-es-Salaam
21
00000081
Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA)

4 Juni,2013
Bw. Hashim Rungwe
(Mwenyekiti)
Bw.Ali Omar Juma
(Katibu Mkuu)
Kameruni Road Kijitonyama,
Makumbusho market
Dar-es-Salaam
 22
00000083
Alliance for Change and Transparent(ACT-Tanzania)

2  Mei,2014
Bw. Kadawi Lucas Limbu
(Mwenyekiti)
Bw. Samson Mwigamba
(Katibu Mkuu)
Ubungo,National Housing,
Opposite Njombe Hotel
Dar-es-Salaam

0 comments:

Post a Comment