Na Mwandishi Wetu,Hai,Januari 13,2015
Wilaya ya Hai imeanza awamu ya pili ya ukarabati wa barabara
za mji mdogo wa Hai wenye lengo la kuziimarisha zaidi kutokana na fedha za mfuko wa barabara zinazotolewa kwa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kwa  kila mwaka .
Ufafanuzi huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus
Makunga baada ya baadhi ya wananchi kutoa malalamiko ya kwamba ukarabati huo
ufanyika kwa kujimbua barabara na hivyo baadaye kusababisha adha kutimka kwa vumbi kwa wananchi wanaofanya shughuli zao pembezoni mwa barabara. 
Makunga ameeleza kuwa ukarabati huo ambao umejionyesha katika
taarifa ya matengenezo ya barabara wilayani Hai kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015
aliyoitoa kwa umma mwezi Agosti mwaka jana.
Amesema ukarabati unaoendelea sasa kwa waliofuatilia taarifa
hiyo ni ule uliopangwa kufanyika kufanyika kati ya Mwezi Januari hadi Machi mwaka
huu ambao unahusisha barabara za Hai mjini zenye jumla ya kilometa kumi na
mbili.
Kwa mwaka huu wa fedha serikali kupitia Mfuko wa 
barabara umeitengea halmashauri ya wilaya kwa ajili ya ukarabarati wa 
barabara ikiwemo ujenzi wa madaraja pamoja na makalvati kiasi cha 
shilingi 1,026,434,000  
Ameeleza kuwa ukarabari huo wa  barabara hizo unafanyanyika ili  kuziimarisha ikiwemo ya kuweka mitalo ya
kutolea maji barabarani kwa ajili ya maandalizi ya kuweka lami kwa awamu
angalau kwa kila mwaka kwa kilometa zisizopungua moja kwa kutumia makusanya ya ndani ya wilaya.
“Katika vikao vilivyopita vya Kamati ya Ushauri ya Mkoa(RCC)
pamoja na Bodi ya barabara ya mkoa lilipitishwa azimio kwa kila wilaya katika
mkoa wa Kilimanjaro ipange utaratibu wa kujenga angalau kilometa moja ya lami
kwa kila mwaka kupitia makusanyo ya mapato ya vyanzo vya ndani ya wilaya”alifafanua Makunga.
Makunga ametaja barabara ambayo ukarabati huo utakuwa wa
kiwango cha juu ni inayoelekea  katika
hospitali kuu ya serikali ya wilaya ikiunganishwa na barabara kuu ya Moshi hadi
Arusha.
Ametaja maeneo mengine kuwa ni pamoja na
Gezaulole,Kingerera,Dorcas na Bomani ambapo jumla ya gharama za ukarabati huo
ni shilingi milioni 44 kwa barabara hizo za mji mdogo wa Hai.
Makunga amewataka wananchi kuondoa wasiwasi ya aina ya ukarabati huo ambapo ameeleza kuwa umelenga kufanyika tofauti na miaka ya nyuma kutokana na sasa eneo la kata ya Hai kupanda hadhi na kuwa mji mdogo
Mji mdogo wa Hai ina kata tatu ambazo niBomang'ombe,Bondeni na Muungano zenye jumla ya kumi na saba
Makunga amewataka wananchi kuondoa wasiwasi ya aina ya ukarabati huo ambapo ameeleza kuwa umelenga kufanyika tofauti na miaka ya nyuma kutokana na sasa eneo la kata ya Hai kupanda hadhi na kuwa mji mdogo
Mji mdogo wa Hai ina kata tatu ambazo niBomang'ombe,Bondeni na Muungano zenye jumla ya kumi na saba
Taarifa ya awali iliyolewa na mkuu huyo wa Hai mwezi Agosti
mwaka huu ambapo baadhi ya kazi zilishafanyika ni hii ifuatayo;
ACTION PLAN
FOR MAINTENANCE OF DISTRICT ROADS BY ROAD FUND FINANCE YEAR 2014/2015
PACKAGING OF
WORKS
| 
SN | 
Road Name | 
Type of Maintenance | 
Length (Km) | 
Approved Budget (Tshs) | 
Implementation Period | 
| 
1 | 
Construction of Mnepo bridge | 
Bridge
  Construction | 
1No. | 
357,000,000 | 
July-September | 
| 
Total Package No.1 | 
0 | 
357,000,000 | |||
| 
2 | 
Shirinjoro-Lyamungo Sinde 
Lyamungo Sinde-Mfoni 
Shirinjoro-Lyamungo Sinde 
Lyamungo Sinde-Kyalia 
Elitira Mengi-Kyalia 
Shirinjoro-Lyamungo Sinde | 
RM 
RM 
SI 
RM 
RM 
PM | 
12 
3 
2 
4 
2 
2 | 
14,400,000 
3,600,000 
10,000,000 
4,800,000 
32,000,000 
32,000,000 | 
July-September | 
| 
Total Package No.2 | 
25 | 
96,800,000 | |||
| 
3 | 
Kwasadala – Longoi 
Bomang’ombe – Kikavuchini 
Kwasadala – Longoi 
Bomang’ombe - Kikavuchini | 
RM 
RM 
SI 
PM | 
12.5 
12 
2 
3 | 
15,000,000 
14,400,000 
10,000,000 
48,000,000 | 
July-Septemba | 
| 
 Total
  Package No.3 | 
29.5 | 
87,400,000 | |||
| 
4 | 
Sonu – Saawe 
Kwasadala – Uswaa 
Kwasadala –Uswaa 
Sonu – Saawe 
Lambo – Makoa 
Bwani - Kyeeri | 
RM 
RM 
PM 
PM 
RM 
RM | 
4 
5.6 
1 
4 
5 
4 | 
4,800,000 
6,720,000 
16,000,000 
64,000,000 
6,000,000 
4,800,000 | 
October-December | 
| 
Total Package No.4 | 
23.6 | 
102,320,000 | |||
| 
5 | 
Kyuu – Lukani 
Lukani – Mashua 
Kwa Frank – Kyuu 
Mbweera – Ufisi 
Lukani – Mashua 
Marukeni – Kyuu 
Marukeni - Kyuu | 
RM 
PM 
RM 
SI 
SI 
SI 
RM | 
4 
2.79 
4 
1.4 
2 
2 
7 | 
4,800,000 
44,640,000 
4,800,000 
7,000,000 
10,000,000 
10,000,000 
8,400,000 | 
October- December | 
| 
Total Package No.5 | 
23.19 | 
89,640,000 | |||
| 
6 | 
Marukeni - Kyuu | 
PM | 
5 | 
80,000,000 | 
January-March | 
| 
Total Package No.6 | 
5 | 
80,000,000 | |||
| 
7 | 
Hai Town Roads 
KIA – Mtakuja 
Hai Town Roads 
Construction of 1No.Vented Drift | 
PM 
RM 
PM 
Construction | 
10 
7.3 
2 
1No. | 
12,000,000 
8,760,000 
32,000,000 
20,000,000 | 
January-March | 
| 
Total Package No.7 | 
19.3 | 
72,760,000 | |||
| 
8 | 
Shirinjoro – Mijongweni 
Mferejini – Kimashuku – Kwatito 
Shirinjoro – Mijongweni 
Construction of 1No.Vented drift 
1No.Bridege Repair-Weruweru | 
RM 
RM 
SI 
Construction 
Repair | 
5.17 
7 
0.83 
1No. 
1No. | 
6.204,000 
8,400,000 
4,150,000 
20,000,000 
10,000,000 | 
April - June | 
| 
Total Package No.8 | 
13 | 
48,754,000 | |||
| 
9 | 
Culvert Installation(No. 1 – No. 8) | 
52,270,000 | 
July’13 – June’14 | ||
| 
10 | 
Supervision and Vehicle Maintenance(No.1 – No.8) | 
39,490,000 | 
July’13 – June’14 | ||
| 
GRAND TOTAL | 
138.59 | 
1,026,434,000 | 
Abbreviations
RM – Routine Maintenance
SI -    Spots
Improvement
PM – Periodic Maintenance
0 comments:
Post a Comment