| Mkakati wa kumdhibiti chatu ukiendelea kufanywa na wananchi mbalimbali |
| Shughuli ya kumuua chati imekamilika |
| Kazi hiyo ilikamilika kwa kumkata vipande vipande nyoka huyo |
| Hii ni nyumba ambayo inadaiwa chatu huyo alikuwa akifugwa |
| Mwananchi mmoja hakuishia katika operesheni ya kuuwa chatu pekee bali aliamua kumbeba kwa mikono huku kundi la wananchi wakimshangaa(Picha zote kwa hisani ya http://dixonbusagaga.blogspot.com) |
0 comments:
Post a Comment