SLAA AAPISHWA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI SWEDEN

Posted by Arusha by day and by night On 02:43 No comments

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli,  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma  Jaji (Mst) Harold Nsekela na  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi  na maofisa kutokla Wizara ya Mambo ya Nje wakiwa katika picha ya kumbukumbu na  Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa baada ya mabalozi  hao kula kiapo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018   
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. Muhidin Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza  Dkt. Wilbrod Slaa baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Wilbrod Slaa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Muhidin Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018

0 comments:

Post a Comment