JPM ASHIRIKI IBADA YA MAJIVU ASUBUHI YA LEO

Posted by Arusha by day and by night On 01:11 No comments

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akisindikizwa  na  Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam  na Padri Venance Tegete baada ya  kujiunga baada ya  ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam asubuhi ya leo Februari 14, 2018. Picha na IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  na mkewe Mama Janeth Magufuli  wakiagana na  waumini wenzao baada ya ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam asubuhi ya leo Februari 14, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu pajini wakati wa ibada ya Jumatano ya majivu katika kanisa la mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam asubuhi ya leo Februari 14,2018

0 comments:

Post a Comment