Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Ng'uni wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wilaya,kata ya Masama kati na kijiji cha Ng'uni katika mahafali ya mwaka 2012
MWENYEKITI WA KIJIJI CHA NGUNI
KILICHOPO WILAYANI HAI PAMOJA NA UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI NG’UNI,
WANAWAALIKA WANAKIJIJI WOTE PAMOJA NA WAZAZI WA WANAFUNZI WANAOSOMA KATIKA SHULE YA SEKONDARI NG’UNI,WANAFUNZI WOTE
WALIOSOMA SHULE HIYO NA WANANCHI WOTE KWA UJUMLA KWENYE HARAMBEE YA UJENZI WA
KIDATO CHA TANO NA SITA ITAKAYOFANYIKA SHULENI HAPO TAREHE 30/10/2013
AIDHA MWENYEKITI WA KIJIJI CHA NG’UNI
ANAWAALIKA WANA NG’UNI WOTE WANAOISHI JIJIJNI DAR-ES-SALAAM KWENYE KIKAO CHA KUZUNGUMZIA
MAENDELEO YA NG’UNI NA WILAYA YA HAI KWA UJUMLA
KITAKACHOFANYIKA KATIKA HOTEL YA TAMAL ILIYOPO MWENGE DAR-ES-SALAAM SAA
KUMI JIONI YA JUMAMOSI YA TAREHE 20/10/2013 AMBAPO MGENI RASMI ATAKUWA MKUU WA
WILAYA YA HAI,MHESHIMIWA NOVATUS MAKUNGA
ATAKAYESIKIA TANGAZO HILI AMJULISHE
NA MWENZAKE.KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NA PROFESA JEHOVANES URASSA KWA SIMU 0754593168
0 comments:
Post a Comment