MAZISHI YA MAMA ANASTASIA PETER SARO KATIKA KIJIJI CHA SHARI WILAYANI HAI

Posted by Arusha by day and by night On 03:59 No comments

 Mwakilishi wa serikali katika mazishi hayo ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga
 Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akiwa na waombolezaji ambao baadhi yao ni wana habari wa mkoa wa Kilimanjaro,James Paul wa ITV na Peter Mushi wa Nipashe
 Mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga na mwandishi wa habari James Paul wakielekea makaburini
 Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akiweka shada la maua kaburini
 Mjukuu wa marehemu ambaye ni mtoto wa Ufoo Saro na mzazi mwenzake Marehemu Anthery Mushi akibembelezwa
 Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga pamoja na kaimu mkuu wa polisi wa wilaya mara baada ya kuweka mashada ya maua kaburini
 Mjukuu wa marehemu Anastasia Peter Saro akitoa heshima za mwisho
 Mtoto wa Ufoo Saro akiaga mwili wa bibi yake marehemu Anastasia Saro
 Waombolezaji walioshindwa kujizuia wakipewa msaada ndani ya kanisa
Waombolezaji wakibeba jeneza kuelekea katika eneo la makaburi ambalo lipo hapo hapo katika eneo la kanisa la kiinjili la kilutheri(KKKT) wa kijiji cha Shari

0 comments:

Post a Comment