RAIS JOHN MAGUFULI AZINDUA MAGARI 181 YA BOHARI KUU YA MADAWA

Posted by Arusha by day and by night On 05:23 No comments

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongozana na Mwakilishi wa Taasisi ya Global FundLinden Morrison eneo la Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru  Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Linden Morrison wakati akijaribu moja ya magari  181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua ghala la dawa   
kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi yaGlobal Fund Linden Morrison na viongozi wengine.
Sehemu ya  magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) yaliyozinduliwa  jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018. 

0 comments:

Post a Comment