MADA
|
HOJA
|
AZIMIO
|
MUDA
WA UTEKELEZAJI
|
MHUSIKA
|
|
Kutenga,
kupima na kumilikisha maeneo na hifadhi mazingira
|
Kubainisha na kutenga maeneo yanayofaa
kwa ufugaji na uwezo wa malisho kulingana na mifugo na kumilikisha maeneo
hayo kwa wafugaji kwa kufuata modeli ya Handeni na Bagamoyo kwa kuanza na maeneo pembezoni mwa mapori ya hifadhi.
|
|
Wizara
ya Ardhi (NLUPC), OWM TAMISEMI (MSM), Wizara ya Mifugo na Sekta Binafsi
|
|
|
Serikali iimarishe na kusimamia
matumizi ya njia za mifugo
|
|
OWM
TAMISEMI (MSM), Wizara ya Mifugo
|
|
|
Kujenga uelewa wa kutosha kwa wafugaji
juu ya teknolojia sahihi za kuwezesha wafugaji kuzalisha malisho na hifadhi
yake kwa matumizi ya baadaye.
|
|
OWM -TAMISEMI (MSM), Wizara ya Mifugo na Sekta Binafsi
|
|
|
Kuweka miundo mbinu muhimu ya mifugo
katika maeneo ya wafugaji na kufanya sensa ya mifugo kitaifa, pamoja na kufanya
usajili ili kutambua mahitaji yao hasa utoaji huduma, kuzuia wizi, kutoa
elimu na kutafuta masoko.
|
|
OWM TAMISEMI (MSM), Wizara ya Mifugo na Sekta Binafsi
|
|
|
Kuimarisha mabaraza ya ardhi ya Kata
na Vijiji, ili kujenga uwezo wa utatuzi wa migogoro karibu zaidi na wafugaji.
|
|
OWM
TAMISEMI (MSM)
|
|
|
Kuunda timu ya wataalam wa wizara za mifugo,
kilimo, maliasili, maji, ardhi, TAMISEMI na mazingira
ili kufanya tathmini yenye mgawanyo sawia wa matumizi ya ardhi nchini,
ikiwa ni pamoja na kushauri kurejesha ardhi
iliyohodhiwa na wawekezaji na kuachwa bila kuendelezwa kwa muda mrefu ili
kuwamilikisha wafugaji na wakulima.
|
|
Wizara
za Kisekta (LSLM)
|
|
Kuongeza
tija na mchango wa sekta ya mifugo katika pato la Taifa
|
Kuelimisha wafugaji kupitia chama cha
wafugaji Tanzania juu ya ufugaji wenye tija na kueneza teknolojia ya uhimilishaji,
unenepeshaji mifugo na uboreshaji malisho.
|
|
OWM
TAMISEMI (MSM), Vyama vya wafugaji na wazalishaji
Wizara ya Mifugo na Sekta Binafsi
|
|
|
Kuanzisha na kuimarisha viwanda vya
kuongeza thamani ya mazao ya mifugo.
|
|
Wizara
ya Viwanda na Biashara, TIC, Sekta Binafsi
|
|
|
Kuandaa “Livestock Lab” ili kuchambua
kwa kina changamoto za mifugo na ufugaji, kutafuta majawabu na kuainisha
vipaumbele vya utekelezaji.
|
|
Wizara
ya Ardhi (NLUPC), OWM Wizara ya Mifugo
|
|
|
Kuendelea
kutekeleza mpango wa maendeleo wa Sekta ya Mifugo ambao utazingatia
vipaumbele vyote muhimu na aina zote za mifugo na mazao yake.
|
|
Wizara
ya Mifugo
|
|
|
Tasnia za mazao ya mifugo ziandae
mpango mkuu (Master plan) unaoonesha kanda za vipaumbele vyake na aina ya
ufugaji.
|
|
Wizara
ya Mifugo
|
|
|
Kufufua na kuimarisha Folk Development
Centers (FDCs) ili zitumike kufundisha wafugaji juu ya ufugaji na mnyororo wa
thamani ya mifugo
|
|
Wizara
ya Mifugo, Wizara ya Maendeleo ya Jamii JInsia na Watoto
|
|
|
Kuendelea kutenga
maeneo huru “Disease Free Zone” katika
mipaka ya nchi ili kuzuia kuenea kwa magonjwa kutoka nchi jirani.
|
|
Wizara
ya Mifugo, OWM- TAMISEMI
|
|
|
Serikali kupitia TVLA iimarishe
usimamizi na udhibiti wa ubora wa pembejeo za mifugo zinazotengenezwa na
zinazoingizwa nchini kutoka nje.
|
|
Wizara
ya Mifugo
|
|
|
Mamlaka ya serikali za mitaa
zitekeleze agizo la kutenga asilimia 15% ya mapato yatokanayo na mifugo na
mazao yake kwa ajili ya kuendeleza sekta ya mifugo
|
|
OWM
– TAMISEMI (MSM)
|
|
|
Kuongeza idadi ya wataalamu wa ugani
wa mifugo ili kuondoa pengo la upungufu lililopo kwa kuruhusu wahitimu wote
wa mifugo kuajiriwa moja kwa moja na serikali.
|
|
Wizara
ya Mifugo, Ofisi ya Rais -Menejimemnt
ya Utumishi wa Umma, OWM TAMISEMI
|
|
|
Kuweka mkakati wa kuhakikisha kuwa
matokeo ya tafiti yanawafikia wadau haraka ili kuongeza tija katika
uzalishaji kwa kuimarisha uhusiano wa kiutendaji (linkage) kati ya mgani,
mfugaji na mtafiti.
|
|
Wizara
ya Mifugo, OWM - TAMISEMI
|
|
Upatikanaji
wa masoko ya mifugo na bidhaa zake
|
Kuhamasisha uundwaji wa mitandao na
ushirika wa wazalishaji wa mazao ya mifugo.
|
|
Wizara
ya Kilimo Chakula na Ushirika, Wizara ya
Mifugo, Vyama vya Wafugaji
|
|
|
Kutoa elimu ya
uzalishaji kibiashara wa mifugo na mazao yake kuhusu kuongeza ubora na uwingi
ili kukidhi soko la nje.
|
|
Wizara
ya Viwanda na Biashara, Wizara ya
Mifugo
|
|
|
Kujenga na kuimarisha minada ikiwemo mizani na kuboresha taratibu za uendeshaji wa
minada/masoko ya mifugo ya ndani na mipakani ili kuwezesha wafugaji
kunufaika na soko zuri la mifugo na mazao ya mifugo.
|
|
Wizara
ya Mifugo, OWM - TAMISEMI
|
|
Kuimarisha na
kuboresha biashara ya mazao ya mifugo
|
Kujenga machinjio za kisasa na
kuboresha zilizopo ili kupata nyama bora kwa walaji wa ndani na nje.
|
|
Wizara
ya Mifugo, OWM – TAMISEMI, Sekta
Binafsi
|
|
|
Kuboresha, kuimarisha na kusimamia
miundombinu ya
ukusanyaji, usambazaji na usindikaji maziwa na nyama.
|
|
Wizara
ya Mifugo, OWM – TAMISEMI, Sekta
Binafsi
|
|
|
Mpango
wa unywaji maziwa shuleni utekelezwe nchi nzima ili kuongeza soko la ndani na
kuongeza afya na ufaulu.
|
|
Wizara
ya Mifugo, OWM – TAMISEMI, Sekta
Binafsi
|
|
|
Kusimamia kikamilifu Sheria ya
Biashara ya ngozi namba 18 ya mwaka 2008,na sheria ya
magonjwa ya mifugo ili kupata ngozi yenye thamani kubwa.
|
|
Wizara
ya Mifugo, OWM – TAMISEMI
|
|
|
Serikali kuridhia uundwaji wa chombo
kitakachosimamia biashara ya ngozi ili kuwezesha ngozi nyingi kuuzwa kwenye
viwanda vya kuchakata vya ndani ya nchi.
|
|
Wizara
ya Mifugo,
|
|
|
Uandaliwe Mkakati wa kuongeza thamani
ya zao la ngozi (value addition) ili kuvifanya viwanda visindike ngozi hadi
hatua ya mwisho.
|
|
Wizara
ya Viwanda na Biashara
|
|
|
Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa,
Wilaya na vijiji za pembezoni, TRA, POLISI na Vyombo vya Usalama (Mwanza, Kagera,
Mara, Simiyu, Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Kigoma
na Manyara) zidhibiti utoroshwaji wa ngozi ghafi kwenda nje ya nchi.
|
|
KUU
– Mikoa na Wilaya
|
|
|
Serikali itazame jinsi ya
kurekebisha bei ya ngozi kwa soko la ndani ya nchi ikilinganishwa na bei
itolewayo na nchi jirani
|
|
|
|
Upatikanaji
wa mitaji na Mikopo kwa wadau wa sekta ya mifugo
|
Kuanzisha na kuimarisha vyama vya
wafugaji vya ushirika wa akiba na mikopo
|
|
WKCU
|
|
|
Kurasimishashughuli
za uzalishaji, biashara na raslimali za mifugo na mazao yake, ili
taasisi za fedha kuweza kukopesha kwa urahisi
|
|
Wizara
ya Mifugo, Viwanda na Biashara
|
|
|
Serikali iandae na kutekeleza mkakati
wa kuwainua wazawa walio na nia ya kuwekeza katika maeneo mbalimbali ya sekta
ya mifugo kwa kuwawekea dhamana kwenye vyombo vya fedha hatimaye kuwa na Benki ya wafugaji.
|
|
Wizara
ya Mifugo, Viwanda na Biashara, Taasisi za Fedha
wafugaji
|
|
Uwekezaji na
vivutio vya uwekezaji katika sekta ya mifugo
|
Serikali isimamie
kodi zilizopo kwa mazao yote ya mifugo yanayoagizwa kutoka nje ili
kulinda soko la ndani la mazao hayo.
|
|
Wizara
ya Viwanda na Biashara, Fedha
|
|
Uboreshaji wa
mfumo wa ufugaji asili
|
Kuandaa sera ya ufugaji wa asili
itakayolenga mabadiliko ya hatua kwa hatua kuboresha ufugaji wa asili kuwa wa
kibiashara na kuzingatia uwezo wa nyanda za malisho uliopo.
|
|
Wizara
ya Mifugo,
|
|
|
Kuboresha mfumo wa usambazaji taarifa
kwa wafugaji zikiwemo taarifa za masoko na magonjwa
kwa kuimarisha mfumo wa Livestock Marketing Information System (LMIS) uliopo.
|
|
Wizara
ya Mifugo,
|
|
|
Kuwa na wiki ya wafugaji
kila mwaka (Lini na nani atagharamia)
|
|
|