NOVEMBA 30 KUWA SIKUKUU KATIKA NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI

Posted by Arusha by day and by night On 12:49 No comments

 Wakuu wa nchi za Afrika ya Mashariki,Yoweri Museveni[Uganda-kushoto],Daniel Arap Moi[Kenya -katikati] na Benjamini Mkapa wa Tanzania -kulia wakikata utepe wa kuashiria kuzinduliwa kwa Jumuia ya Afrika ya Mashariki katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha mnamo Novemba 30,1999
 Sherehe za uzinduzi wa Jumuia ya Afrika ya mashariki katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mnamo Novemba 30,1999
Kusainiwa kwa Mkataba wa uanzishwaji wa Jumuia ya Afrika ya Mashariki katika ukumbi wa Simba,AICC mnamo Novema 11,1999


East African Legislative Assembly

PRESS RELEASE

EALA PASSES PUBLIC HOLIDAYS BILL PAVING WAY FOR COMEMORATION OF EAC DAY ON NOV 30 IN REGION
East African Legislative Assembly, Arusha, August 30 2013: the EALA sittings ended yesterday with legislators passing a crucial Bill and adjourning debate on another.

The Bill that sailed through the House is the East African Community Holidays Bill 2013.  With the passing of the Bill, East Africans are expected to observe the east African Community day on November 30th as a Public Holiday in all Partner States.
If the EAC Heads of State give a nod to the Bill, then the day shall be an opportunity to reflect on the vision of integration and to celebrate the progress made and on-going activities and programmes to further the objects of the Treaty.

At the same time, the official celebrations shall be held in rotational order in the Partner States, celebrating African renaissance and honouring citizens who have championed the cause of integration. The Bill read by Hon Mike Sebalu on behalf of Hon Abubakar Zein Abubakar hopes to provide a legal basis for holidays in the Community and makes provision for remuneration of employees who may be required to work on a holiday and situations where the said holiday falls on a Sunday.  

The Bill recognises all the independence days celebrated in the Partner States as days off for the staff of all organs and institutions of the Community.  The same applies for the religious holidays currently observed including: Good Friday and Easter Monday as well as the Eidd El-Haj, Eid-Ul-Azha and Eidd-El-Ul.  The International Women’s Day commemorated globally on March 8 shall also be kept and observed by the EAC.

At debate time, the motion was supported by Hon Patricia Hajabakiga, Hon Dora Byamukama, Hon Peter Mathuki and the Chair of the Council of Ministers, Hon Shem Bageine.

The debate was preceded by the tabling of the Report by the Committee on Regional Affairs and Conflict Resolution.  The Committee considered the Bill and incorporated a number of views and proposals for consideration and adoption.The Bill now awaits assent from the EAC Heads of State before it becomes Community law.

Meanwhile, the debate on the Disaster Risk Reduction and Management Bill, 2013 was adjourned under Rule 31 of the Rules of Procedure following a request by the Chair of the Council of Ministers, Hon Shem Bageine.  
The Bill sponsored by Hon Patricia Hajabakiga seeks to provide a legal framework for intervention and assistance for people affected by climate change and natural hazard-related disasters.

It further anticipates the protection of the natural environment through integration of comprehensive DRR and Management practices in the Community and the creation of a regional mechanism that would enable  a timely intervention in disaster situations.

The Council according to Hon Bageine hopes to re-introduce the Bill with changes as may be necessary once the Protocol on Peace and Security is accomplished.

-End-

MDAHALO WA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIKI KUFANYIKA DAR-ES-SALAAM

Posted by Arusha by day and by night On 11:24 No comments


EAST AFRICAN COMMUNITY

PRESS RELEASE

ALL SET FOR 2ND EAC UNIVERSITY STUDENTS’DEBATE

The 2nd EAC University Students’ Debate on Regional Integration is slated for 2 – 3 September 2013 next week at the at Belmont hotel in Dar es salaam, Tanzania.

The Debate whose theme is: “Understanding the Opportunities and Challenges arising from the EAC Integration for Youth in East Africa” aims at promoting continuous dialogue among the youth and to interest them in advocating for regional integration initiatives

The debate is expected to  bring together representatives from academia, private sector, civil society, media and technocrats from the East African region who will listen to the debate and make their comments on the strength of the deliberations and make recommendations on the way forward for the debate

The Debate involves six participants from each EAC Partner State, drawn from national universities, both public and private and other institutions of higher learning. The participants will choose to be either on the opposition or proposition side.

The EAC University Students’ Debate will be moderated by three judges with expertise on the specific area of discussion  on the overall area of EAC and political integration.

The two-day function will be capped with a gala dinner, at which the best debaters will be presented with awards and also appointed as EAC Youth Ambassadors 2013/2014 with an obligation to spear head peer to peer learning in their respective universities in collaboration with the EAC Secretariat and EAC Ministries in the Partner States.


Notes to Editors

The East African Community Youth Summit on EAC Integration and Development Processes held in Arusha, Tanzania from 2nd – 3rd November, 2007 set the precedent for youth participation in the EAC integration.  The Summit acknowledged that information and education on East African Integration and development is fundamental for enhancement and sustainability of regional integration.

The youth called upon the EAC Secretariat to engage young people as partners to reach out to their peers on issues of EAC Integration and processes which will empower high-level skills needed to drive national and regional development. 

The 1st EAC University Students’ Debate attracted over 100 students and 15 lecturers from public, private and other higher institutions of learning.

In addition, the debate also brought together representation from private sector, civil society, media, technocrats and academia. Six participants were drawn from each Partner States making a total of 30 debaters. Students from other local universities in Arusha also attended and took part in the debate

MKAKATI WA USAMBAZAJI WA MAJI SAFI NA SALAMA KATIKA MKOA WA KILIMANJARO

Posted by Arusha by day and by night On 10:52 No comments

 Naibu waziri akipanda katika moja ya tenki la kuhifadhia maji katika mkoa wa Kilimanjaro
Naibu waziri akiwa na viongozi wa wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro

MAJUMUISHO YA ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI,
MHE. DKT. BINILITH S. MAHENGE (MB) - MKOANI KILIMANJARO
TAREHE 23 – 30 JULAI 2013

Leo hii ni siku ya nane nipo kwenye Mkoa huu wa Kilimanjaro nikikagua utekelezaji na uendeshaji wa miradi ya maji. Nilianza ziara yangu tarehe 23 Julai na leo tarehe 30 Julai nahitimisha ziara hiyo ikiwa na mafanikio makubwa katika kujionea hali halisi ya Sekta ya Maji katika mkoa wa Kilimanjaro.

Ziara hiyo isingefanikiwa bila ushirikiano wa viongozi wa mkoa wa Kilimanjaro, viongozi wa Halmashauri za mkoa wa Kilimanjaro, viongozi wa kata, vijiji na wataalam mbalimbali. Wote kwa pamoja mmefanikisha ziara yangu na Nawashukuru sana!!!!!!!!!!!!!

Kwa kweli nimejifunza mambo mengi katika Sekta ya Maji na pia nimejionea mwenyewe tofauti ya jiografia ya maeneo mbalimbali mfano pale Same, hali ya milima ni tofauti sana na maeneo mengine ambayo inasababisha ugumu wa kupeleka huduma ya maji. Kwa kweli nimejifunza mengi na nitakuwa balozi wa kupeleka ujumbe mbalimbali kuhusu mkoa huu wa Kilimanjaro.

Sasa naomba nizungumzie kuhusu utekelezaji wa programu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini.

Naomba nianze kwa kuuliza, mnakumbuka ahadi mliyoitoa na makubaliano mliyoyaweka? Kila mmoja wetu ajitathmini mwenyewe katika kipindi hiki cha kutekeleza kauli mbiu ya “Tekeleza sasa kwa matokeo makubwa” yaani “Big result now”. Majibu yatakayopatikana ni tofauti na makubaliano ambayo mmesaini pale Arusha na Dodoma. Tafsiri yake ni kuwa, wapo wenzetu ambao wamedhihirisha wazi kuwa kasi ya utekelezaji ni ndogo na wapo ambao.

HALI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA VIJIJI 10
•    Halmashauri zitakazofikisha lengo la kukamilisha wastani wa vijiji 5 ifikapo Septemba 2013.
Katika mkoa wa Kilimanjaro, ni Halmashauri 4 tu za Mwanga, Same, Siha na Hai ndizo zitakazofikia lengo la kuwa na wastani wa vijiji 5 ifikapo mwezi Septemba 2013. Naomba nichukue fursa hii kuzipongeza Halmashauri hizo, kwa kweli mmetimiza wajibu wenu wa kuwahudumia watanzania.

•    Halmashauri nyingine ziko chini ya lengo lililowekwa mfano:
i.    Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Vijijini inatekeleza mradi katika vijiji 2 vya Korini Kaskazini na Korini Kusini ambavyo vitakamilika mwezi Oktoba 2013. Lakini kukamilika kwa mradi huo kunategemea kupitishwa kwa gharama za nyongeza za milioni 265 za kubadilisha bomba na kuweka bomba za chuma.

Naagiza kuwa, Halmashauri ya Moshi Vijijini kwa kushirikiana na Sekretarieti ya Mkoa zifanye mapitio ya gharama hizo za nyongeza na kufanya maamuzi ili mradi katika vijiji hivyo 2 ukamilike mwezi Oktoba 2013 kama ulivyopangwa.

ii.    Halmashauri ya Wilaya za Manispaa ya Moshi Manispaa imesaini mkatabawa ujenzi katika kijiji cha Languo B na ujenzi bado haujaanza. Hilo si jambo la kuvumiliana hata kidogo, na ni kutowatendea haki watanzania.

Naagiza kuwa, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ihakikishe inaongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya vijiji 10.

iii.    Halmashauri ya Wilaya ya Rombo haina mradi hata mmoja ambao mkataba wake wa ujenzi umesainiwa pamoja na kuwa na vijiji 2 vyenye vyanzo vya maji. Kijiji cha Ushiri kina chanzo cha chemchem na kijiji cha Kahe kisima kirefu kimepatikana tangu mwaka 2010. Halmashauri imesema mbele yangu kuwa isingeweza kuanza na vijiji 2 kwa kuwa Mtaalam Mshauri alikuwa anasubiri vijiji vyote vipate vyanzo ili avisimamie kwa pamoja. Huku ni kuwacheleweshea wananchi huduma ya maji bila sababu ya msingi.

Naagiza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo iharakishe utekelezaji wa haraka wa miradi hiyo ikiwa ni pamoja na kutumia force account. Aidha, kwa vijiji ambavyo vimekosa vyanzo, Halmashauri ziharakishe kutafuta vyanzo mbadala mapema ikkiwemo matumizi ya teknolojia ya uchimbaji wa mabwawa.

Naipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga kwa kutekeleza vizuri miradi ya vijiji 10. Halmashauri hiyo itakamilisha jumla ya vijiji 6 ifikapo mwezi Septemba 2013. Nawapongeza sana.

iv.    Miradi mingine Vijijini
Mwezi Aprili 2013, Serikali imekamilisha uchimbaji wa kisima kimoja katika kijiji cha Mruma katika Halmashauri ya Mwanga. Kisima hicho kina uwezo wa lita za ujazo 8,000  kwa saa na kinalenga kuhudumia watu 4,000 wa vijiji vya Mruma na Mamba. Usanifu wa miundombinu ya kusambaza maji bado haujafanyika.

Agizo: Mhandisi wa wilaya ya Mwanga kwa kushirikiana na Mhandisi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Kilimanjaro, wakamilishe usanifu wa mradi ndani ya mwezi mmoja. Wizara inaahidi kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kusambaza maji.

HALI YA HUDUMA YA MAJI MKOANI NA MIJI MIDOGO.

Mamlaka    Maji yanayozalishwa M3/siku    Mahitaji M3/siku    NRW
%    Idadi ya Wateja    Wateja wenye mita    Makusanyo kwa mwezi
Moshi Mjini    25,156    38,485    39    21,000    21,000    302,000,000
Mwanga    1,532    3,000    51    1,534    687    6,000,000
Same    1,196    4,500    45    1,298    825    12,000,000
Kiliwater    27,000    40,000    78    18,657    12,674    65,000,000
Lawate Fuka water Supply Board (Siha DC)    45,625    45,625    16.7    3,268    3,268    21,886,341
Magadini Makiwaru water supply Board of Trustee (Siha DC)    48,619    48,619    12
    1,937    1,937    25,553,250

•    Nachukua fursa hii kuipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) kwa kazi nzuri katika manispaa. Nimeona mipango yao ya uondoaji tatizo la maji katika Manispaa. Naamini mipango hii itatekelezwa.

•    Huduma ya Maji katika Mji mdogo wa Himo inaridhisha kwa sababu maji yanapatikana, Hali iliyopo sasa Himo ni shida ya utawala.  Hakuna Pesa inayokusanywa. Naigiza mamlaka ya Moshi (MUWSA) kumaliza mchakato wa kuunganisha Himo na mtandao wa (MUWSA) kabla ya Mwezi Septemba 2013. Watumiaji maji waanze mara moja kuchangia huduma ya maji.

•    Hali ya maji katika wilaya ya Rombo inayosimamiwa na Kampuni ya Kiliwater hairidhishi, kiwango cha maji kinachopotea ni asilimia 78%, kiwango hiki ni kikubwa sana. Naziagiza halmashauri za wilaya ya Rombo na Moshi  ziwasiliane na Uongozi wa Mamlaka ya Maji na usafi wa mazingira Moshi (MUWSA)  kwa ajili ushauri wa kitaalam kuhusu uendeshaji wa huduma ya maji. Aidha, Mchakato wa Kiliwater kuwa Mamlaka ukamilike mapema ili Mamlaka ijiendeshe yenyewe kwa asilimia 100.

•    Hali ya huduma ya maji katika mji wa Mwanga sio ya kuridhisha. Mamlaka ya Maji katika mji mdogo wa Mwanga ina changamoto nyingi. Moja ikiwa ni kukosekana kwa  ratiba ya migawo ya Maji, wateja wengi hawajafungiwa Dira hivyo kupelekea upotevu wa maji kufikia asilimia  51%, mamlaka inakusanya kiwango cha wastani wa shilingi milioni 6 kwa mwezi. Kiwango hicho ni kidogo.

Naagiza ufanyike ukaguzi wa ndani ili kubaini mapato na matumizi ya mamlaka. Katika kuboresha huduma ya maji Mwanga, namwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mwanga kukamilisha ujenzi wa kisima kipya cha maji  kilichopo mjini ambacho gharama yake ni shilingi milioni 30 kwa ajiliya kutoa maji kwenye kisima na kuingiza kwenye mtandao uliopo. Gharama hizo zinaweza kupunguakama zitapitiwa kwa umakini. Aidha, Deni la umeme nimelichukua na Wizara italifanyia kazi.

Mamlaka ya mji wa Mwanga haina Bodi na meneja na meneja wa mamlaka ameshindwa kazi ya kuboresha huduma ya maji katika mji huo. Meneja wa Mamlaka ya Mwanga anapewa muda wa miezi 6 ya uangalizi, asipojirekebisha kiutendaji, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mwanga amwondoe kwenye cheo hicho na kumpatia afisa mwingine atakayesaidia kuboresha huduma ya maji.

•    Hali ya upatikanaji wa maji katika mji ya Same bado sio nzuri. Mamlaka inazalisha maji kwa kiwango cha asilimia 27%, natambua juhudi za selikai za kuboresha hali ya maji katika miji ya Mwanga, Same Korogwe, pamoja na juhudi hizi bado malamaka ina jukumu la kuboresha huduama ya maji katika mji huu.

Naagiza wateja wote ambao hawajafungiwa dira za maji wafungiwe katika kipindi cha miezi mitatu. Naagiza pia kuwa, Kisima kilichopo mjini Same kikamilishwe haraka iwezekanavyo.

Nampongeza meneja wa Mamlaka ya maji mji wa Same kwa kuwa na makusanyo ya shilingi milioni 12 kwa mwezi ingawa maji aliyonayo ni kidogo.

•    Hali ya huduma ya maji katika wilaya za Siha na Hai inaridhisha. Nazipongeza Bodi za watumia maji za Magadini Makiwaru na Lawate Fuka kwa wilaya ya Siha na Losa-KIA, Uroki Bomang’ombe, Lyamungo Umbwe, Machame na Mkarama kwa walaya ya Hai kwa kazi nzuri. Nashauri vyombo vya watumia maji na mamlaka za maji katika miji midogo kwenda kupata uzoefu katika bodi hizi. 

Katika ziara yangu mkoani Kilimanjaro, napenda kusisitiza mambo yafuatayo:
•    Mamlaka za maji katika miji midogo zipo chini ya Halmashauri kwa mujibu wa sheria Na. 12 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2009.
•    Halmashauri zote zitenge sehemu ya mapato yake kwa ajili ya kuboresha huduma za maji.
•    Mamlaka zote zihakikishe zinapunguza upotevu wa maji katika maeneo yao hasa kwa kufunga dira kwa wateja wote.
•    Nampongeza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kwa juhudi zake za kuboresha zoezi la upandaji wa miti, aidha viongozi wote wa mkoa nawaomba kuongeza juhudi katika zoezi la kuboresha mazingira ili kutunza vyanzo vya maji.
•    Ratiba za migawo ya maji iwekwe wazi na ibandikwe katika mbao za matangazo katika ofisi zote za serikali.
•    Taarifa za Mapato na matumizi ya vyombo vya watumia maji ziwekwe wazi kwa wananchi.
•    Gharama ya mradi wa maji katika wilaya ya Rombo Kijiji cha Kahe ipitiwe upya, kwani gharama hii ni kubwa sana.
•    Elimu itolewe kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kuchangia huduma ya maji.
•    Ofisi ya Bonde la Pangani na mabonde mengine nchini wasimamie vibali wanavyovitoa na kukagua matumizi ya maji ili kujiridhisha na matumizi ya vibali hivyo.
•    Taasisi za serikali ambazo zinadaiwa ni muhimu kulipa madeni yao ili kuziwezesha mamlaka za maji kuboresha huduma ya upatikanaji wa maji.

Hitimisho

    Kwa ujumla hali ya utekelezaji wa miradi ya vijiji 10 inaendelea vizuri na inaridhisha. Isipokua Wilaya ya Rombo na Moshi manispaa. Vile vile hali ya huduma ya maji katika miji midogo inahitaji kuboreshwa zaidi.

Kama nilivyoeleza kwenye Hotuba yangu, kasi ya utekelezaji na usimamizi wa miradi ya maji inahitaji kuongezwa kwa kiwango kikubwa. Naomba kila mmoja wetu aboreshe utendaji kazi katika eneo lake ili kutimiza adhma ya serikali ya kuwasambazia maji wananchi wake.

Kwa kumalizia, naomba tena niwashukuru viongozi wa mkoa, viongozi wa Wilaya, Wataalam wetu, Waandishi wa Habari na wote waliofanikisha ziara yangu mkoani Kilimanjaro. Nasema Asanteni Sana.

Nawatakia mafanikio katika kutekeleza mambo ambayo nimeelekeza kwenye Hotuba yangu ya Majumuisho.



Nashukuru kwa kunisikiliza

Asanteni Sana.




EAST AFRICAN ANNUAL MEDIA AWARDS 2013

Posted by Arusha by day and by night On 06:21 No comments


AISHTAKI ISRAEL KWA KIFO CHA YESU

Posted by Arusha by day and by night On 06:49 No comments



Na Mwandishi Wetu

Mwanasheria wa Kenya Dola Indidis ameanzisha mchakato wa kupinga mateso na hukumu ya kifo kwa Yesu Kristo, akisema kwamba ilikuwa kinyume cha sheria na kwamba Israel na baadhi ya mataifa yanatakiwa kuwajibika.


Mwanasheria huyo, Dola Indidis (pichani) ambaye aliwahi kuwa msemaji wa Mahakama nchini Kenya amesema kwamba amefikisha shauri hilo kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), International Court of Justice, iliyopo The Hague, Uholanzi.


Indidis katika mashtaka yake anahoji kesi isiyo ya haki dhidi ya Yesu, kifungo, adhabu na kifo chake.


Agosti 2007 alifungua kesi hiyo kwenye Mahakama Kuu ya Nairobi kwa niaba ya ‘Marafiki wa Yesu.’ Hata hivyo mahakama mwaka 2011 ilitoa uamuzi kwa kusema haina mamlaka na kumwomba mtoa maombi kwenda ICJ.


Indidis anataka ifahamike ni uhalifu gani alifanya Yesu hadi kufikia hatua ya kushtakiwa, na anaitaka mahakama itamke kuwa ‘mwenendo wa mashtaka dhidi ya Yesu haukufuata taratibu za kisheria kwa wakati huo na hata sasa.’


“Mahakama (ICJ) imewasiliana na mimi. Sasa nasubiri tarehe ya kwenda Uholanzi kusikiliza kesi hiyo,” alisema Indidis.


Indidis aliendelea kusema: “Nimefungua kesi hii kwa sababu ni jukumu langu kuenzi heshima ya Yesu na nimekwenda ICJ kutafuta haki kwa ajili ya mtu kutoka Nazareth.

“Kesi hii siyo kwa masuala ya kilokole. Ni kuhusu sheria na ni jukumu la mahakama kusadia maendeleo ya sheria,” alisema Indidis.


Alisema amekwenda ICJ kuhoji hukumu aliyopewa Yesu, kwamba alihukumiwa kwa makosa na alituhumiwa bila kufanya kosa lolote.


Indidis alisema japokuwa walalamikiwa wengi kwa sasa ni marehemu, bado anaona uzito wa kesi na kwamba itaweka utaratubu kwa siku za baadaye.


Kesi hiyo kwa mara ya kwanza ilifikishwa Mahakama Kuu ya Kenya chini ya kifungu namba 65 na 67 cha Katiba ya Kenya (ambayo sasa imerekebishwa).


Walalamikaji katika kesi hiyo ni Marafiki wa Yesu kupitia kwa Dola Indidis, ambao wanawashtaki mtawala wa Roma Tiberius, Pontius Pilate (Pilato) ambaye ni Gavana wa Judea, Annas, Padri Mkuu wa Wayahudi, kiongozi wa Wayahudi, Walimu wa sheria wa Kiyahudi, Mfalme Herod, Jamhuri ya Italia na Taifa la Israel.


Kwenye kesi hiyo taasisi ya kiraia ya kutetea haki ya Kenya na Humprey Odanga Achala, wameorodheshwa katika sehemu ya watu wenye masilahi na kesi hiyo. Alisema ametumia kifungu cha Marafiki wa Yesu kwenye Agano Jipya kufungua kesi hiyo.

Walalamikaji wamezitaja nchi za Italia na Israel kwakuwa nchi hizo hata baada ya uhuru zimeendelea kutumia sheria za Utawala wa Roma na zile zilitotumika kumsulubu msalabani Yesu.


Padri Mkuu wa Wayahudi Caiaphas anatuhumiwa kumkamata Yesu, kumshtaki kwenye mahakama isiyo halali (Kangaroo Court), na kumtia hatiani kwa mashtaka ya kidini yaliyoangukia kwenye adhabu ya kifo na hakutaka Yesu ahoji mamlaka yake.


Alidai Pilato hakumtia hatiani Yesu, lakini alitoa hukumu ya kumuua ili kuleta amani.


“Haikuwa sahihi Pilato kushuhudia mtuhumiwa akipigwa,” alisema Indidis na kuongeza kuwa, “Jaji lazima alisimamie haki za watu wote na aina zote za ukiukwaji wa sheria.”


“Miongoni mwa waliokuwepo walimshambulia usoni, walimtemea mate, walimzaba vibao, walimdhihaki, na kumwona kuwa mtu anayestahili kifo,” alisema.


Mlalamikaji pia alihoji mfumo wa maswali yaliyotumika wakati wa kesi,

uchunguzi, wakati kesi ikisilikizwa na hukumu kwa Yesu Kristo, adhabu alizokuwa akipewa wakati kesi ikiendelea na ukweli wa taarifa zilizotumika kumtia hatiani.

 Alisema kilichofanyika ni uvunjaji wa haki za binadamu. “Yesu alikuja duniani kama binadamu. Sasa hakupewa fursa ya kusikilizwa na hakuna aliyezungumza kwa niaba yake.”


Indidis alisema ametumia miaka 10 kuifanyia kazi kesi hiyo, ikiwamo kukusanya ushahidi kutoka kwenye Biblia. “Ushahidi wote umo kwenye kumbukumbu za Biblia, huwezi kuidharau Biblia,” aliongeza Indidis.


Alisisitiza kwamba hata baada ya Yesu kufa, haikutolewa nafasi yoyote kusikilizwa kwa rufaa ya aina yoyote, hivyo yeye ameamua kufanya hivyo akiwa kama ‘rafiki’.


Alizungumza kuhusu kesi hiyo, mmoja wa maofisa wa ICJ alisema mahakama hiyo haina mamlaka kuhusiana na kesi ya aina hiyo kwa sasa kwa kuwa inajihusisha zaidi na kesi baina ya nchi na nchi, hivyo ni vigumu kuishughulikia kesi ya aina hiyo.

Source:Gazeti la Mwananchi,Agosti 3,2013

HAI DISTRICT IN WASTE MANAGEMENT DEAL WITH SWEDEN

Posted by Arusha by day and by night On 06:19 No comments








wwww. arushatimes.co.tz
issn 0856 - 9135
Issue No. 0773:
July 27 - August 2, 2013
Local News

By Arusha Times Correspondent


The Hai District Council in Kilimanjaro region has partnered with Arvidsjaur Town Council in Sweden in a waste management project to be implemented through recycling, it was announced at last weekend.

The agreement was signed by the two local authorities in Sweden recently during a visit to the Nordic country by a high-powered Hai delegation led by the district commissioner Mr. Novatus Makunga.

Under the project, the two entities would launch a recycling project which not only aims at making new products from the recycling technology but also manage the solid waste.

The Hai district would now be required to send to Sweden proposals of various projects it intends to implement under the waste management programme so that they can be considered for funding and technical back-up.

Hai District delegation led by the district commissioner Mr. Novatus Makunga (right) recently visited Arvidsjaur town in
Sweden where they worked out a cooperation agreement. Others in the delegation were the chairman of the
district council Clement Kwayu, the district executive director Meleckzedeck Humbe and the planning officer Ms Esther Mbatia.

The district's delegation during the five-day tour also included the chairman of the district council Clement Kwayu, the district executive director Meleckzedeck Humbe and the planning officer Ms Esther Mbatia.

Other areas of cooperation reached by the two sides would include projects on education, environmental conservation and employment for the youth, Mr. Makunga said in a statement to the media houses.

The Hai authorities would also cooperate with Arvidsjaur town in Sweden in tourism projects and on matters pertaining to good governance. "Currently, we are laying down plans to sensitize members of the public on economic empowerment directed mainly to the youth", the DC said.

He added that the Swedish International Development Agency (Sida) and the Arvidsjaur municipality would jointly support the Hai local authority in capacity building in collecting vital data on development indicators from the grassroots.

Another area of cooperation will be to enable the Hai district to improve its revenue collection and communication, including the Boma FM radio station which is owned by the district council.

Other projects earmarked for Swedish support are to include strengthening the community development training centre in the district, health services and sewage waste management.

Mr. Makunga said solid waste was one of the main challenges facing the district, adding that the problem has been compounded by the increasing population in Hai, especially to the district headquarters Bomang'ombe which is on the Moshi-Arusha highway.

"For us solid waste is trash but for our Swedish friends it is a raw material for making other products through recycling", he said, noting that Tanzanians should now learn on how to sort solid waste so that they can be turned into valuable goods instead of throwing them to the dump sites.

The DC said Hai district has a big potential for tourism, being where the Kilimanjaro International Airport (KIA) is located and also a short distance from the Mt. Kilimanjaro which attracts thousands of tourists from abroad each year, mainly mountain climbers.

The DC said Tanzania should learn from Sweden where municipalities were the main drivers of development. The country has a total of 260 municipalities which are overseeing all development projects, including the social services such as schools, health and water supply as well as economic empowerment programmes.

The municipalities attract a total of about 500,000 tourists daily, many of them from other European countries.


Copyright © 2001 -  2006  Arusha Times.  E-mail: arushatimes@habari.co.tz
Webdesigner: Grace Balende Tungaraza