Friday, 27 July 2012

uchumaji chai kwa njia ya kienyeji na kisasa Tukuyu, wilayani Rungwe


Mkulima wa zao la chai akichuma chai yake kienyeji  katika mashamba ya Katumba Tukuyu mkoani Mbeya hivi karibuni

Huu ni uchumaji wa chai wa kisasa kwa kutumia chombo maalum

Kienyeji na mtoto mgongoni. Picha na Francis Godwin

No comments:

Post a Comment