Monday, 30 July 2012

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA SHEMEJI YAKE MJINI LINDI


:
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Julai 30,2012 amehudhuria mazishi ya shemeji yake,Marehemu Amani Kinyozi(45),aliyefariki Jumamosi iliyopita jijini Dar-es-Salaam na kuzikwa katika makaburi ya Mtandi mjini Lindi.Pichani Rais Kikwete akiweka udongo kaburini na pia akishiriki katika swala ya kumuombea marehemu mjini Lindi (Picha kwa hisani ya Ikulu)

No comments:

Post a Comment