CCM YAZINDUKA KWA KISHINDO KAMPENI ZA UBUNGE MOSHI MJINI

Posted by Arusha by day and by night On 03:58 1 comment

Mgombea wa Ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa Tiketi ya CCM,Davis Mosha akiomba kura kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za ubunge katika jimbo hilo zilizofanyika katika Uwanja wa mashujaa
Sehemu ya Umati uliohudhuria uzinduzi wa kampeni za Ubunge kupitia CCM jimbo la Moshi katika Uwanja wa Mashujaa jana jioni.

Umati wa wananchi wa Moshi walioshiriki katika uzinduzi wa kampeni za ubunge jimbo la Moshi mjini

Katibu Mkuu wa CCM,Mheshimiwa Abdulrhaman Kinana Akimwombea kura mgombea wa CCM katika Jimbo la Moshi Mjini,Davis Mosha wakati wa uzinduzi wa kampeni za ubunge jimbo hilo jana jioni katika uwanja wa Mashujaa

Umati wa wakazi wa Moshi wakifuatilia uzinduzi wa kampeni za ubunge katika jimbo la Moshi Mjini

Viongozi mbalimbali wa CCM na wagombea wa Ubunge katika majimbo ya Mkoani Kilimanjaro wakifuatilia mkutano wa uzinduzi katika jimbo la Moshi Mjini

Baadhi ya akinamama makada wa CCM waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za CCM jimbo la Moshi mjini jana katika Uwanja wa Mashujaa